Wachezaji Waliochoguliwa Kuwakilisha Timu ya Taifa Katika Mashindano ya Jumuiya ya Afrika Mashariki 2024
Orodha ya Wachezaji Waliochoguliwa Kuwakilisha Timu ya Taifa Katika Mashindano ya Jumuiya ya Afrika Mashariki 2024
Chama cha Mpira wa Wavu Tanzania, TVF, kimetangaza orodha ya wachezaji waliochoguliwa kuwakilisha Timu ya Taifa, ALMASI KINGS, katika Mashindano ya Jumuiya ya Afrika Mashariki yanayotarajia kufanyika nchini Rwanda kuanzia tarehe 01 hadi 10 Februari 2024.
Orodha hiyo inajumuisha jumla ya wachezaji wa kiume 14 kutoka katika vilabu mbalimbali nchini na nje ya nchi. Wachezaji waliorodheshwa ni:
- Ezekiel Rabson Machunde (JKT - Tanzania)
- Bathromeo Revocatus (High Voltage - Tanzania)
- Starlone Wilbard (KIUT - Tanzania)
- Deodatus Baitubake Mhandiki (Jeshi Stars - Tanzania)
- Ramadhani M. Ramadhani (Jeshi Stars - Tanzania)
- Faraja Gideon (Nyuki - Zanzibar)
- Charles Daudi (High Voltage - Tanzania)
- Ford Gunja (High Voltage - Tanzania)
- Omary Bure Hassan (Rukinzo - Burundi)
- Lameck Suligi David (Jeshi Stars - Tanzania)
- Raymond Bwachele (JKT - Tanzania)
- Rashidi Mustapha (JKT - Tanzania)
- Andrew Chiogero (Polisi - Tanzania)
- Khamisi Sadalla (Mafunzo - Zanzibar)